Wauguzi chashinikiza kuajiriwa kwa wauguzi zaidi

  • | Citizen TV
    572 views

    Shirikisho la Wataalamu wa Afya ya Mazingira na Afya ya Umma limehimiza Serikali ya Kitaifa na Serikali za Kaunti kufanya kipaumbele ajira kwa wauguzi wa afya ya umma ili kuzuia magonjwa.