Wauguzi katika kaunti sita wanfanya maandamano Kitale

  • | Citizen TV
    391 views

    Wauguzi kutoka kaunti za kaskazini mwa Bonde la Ufa wamefanya maandamano mjini Kitale ili kuishinikiza serikali kuwapa ajira. Wauguzi hao wanasema kuwa wamekuwa kwenye kandarasi kw amuda mrefu ilhali mchango wao kwa sekta ya afya ni mkubwa. Aidha wauguzi hao wamekuwa kwenye mgomo kwa wiki ya tatu sasa.