Wauguzi wagoma Homa Bay, Kisii na Bungoma

  • | Citizen TV
    479 views

    Wagonjwa katika kaunti za homa bay, kisii na bungoma wanataabika baada ya wauguzi kuanza mgomo wao hii leo. Huduma za afya zimetatizika huku wauguzi hao wakiapa kuwa hawatarejea kazini hadi maslahi yao yaangaliwe.