Waumini wa Kiislamu waendelea na sherehe za Eid Mombasa

  • | Citizen TV
    629 views

    Kwa Siku Ya Pili Mtawalia Maelfu Ya Waumini Wa Kiislamu Wamekusanyika Katika Sehemu Za Ibada Na Viwanja Kwa Sala Maalum Ya Kuadhimisha Kukamilika Kwa Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan. Kadhi Mkuu Aliongoza Sherehe Za Eid Ul Fitr Katika Uwanja Wa Ronald Ngala Ambapo Viongozi Wamelaani Kuchipuka Tena Kwa Magenge Ya Uhalifu Mjini Mombasa. Na Kama Anavyoarifu Francis Mtalaki Viongozi Wa Kidini Wametaka Waislamu Kote Nchini Kutumia Fursa Hii Kuwakumbuka Wasiojiweza Katika Jamii.