Waumini watoa heshima za mwisho kwa Papa Francis

  • | Citizen TV
    1,375 views

    Zaidi ya watu 20,000 wamekusanyika katika eneo la St. Peters Square huko Vatican kutoa heshima zao za mwisho kwa Papa Francis. Hii leo ikiwa siku ya kwanza ya zoezi hilo litakaloendelea kwa siku tatu, waumini waliruhusiwa kuingia katika kanisa la St Peter basilica kuuona mwili wa Papa Francis.