Wauzaji wa mvinyo na vileo kaunti ya Nandi waonywa dhidi ya uuzaji wa pombe haramu

  • | Citizen TV
    117 views

    Wauzaji wa mvinyo,vileo na vilevile wamiliki wa mikahawa katika kaunti ya Nandi, wameonywa dhidi ya uuzaji wa pombe haramu au pombe ambazo hazijaidhinishwa na halmashauri ya kukadiria ubora wa bidhaa.