Wavuvi katika Kaunti ya Kwale huandaa mashindano ya Ngalawa

  • | Citizen TV
    234 views

    Mwezi Februari au Machi kila mwaka, wavuvi katika Kaunti ya Kwale huandaa mashindano ya Ngalawa kuonyesha umahiri wao kwenye uvuvi na usafari wa baharini