Wavuvi wa dagaa katika Ziwa Victoria watakiwa kutumia taa chache za nishati ya jua katika uvuvi

  • | Citizen TV
    331 views

    Wavuvi wa dagaa sasa wametakiwa kutumia taa chache za nishati ya jua katika uvuvi, ili kudhibiti idadi ya samaki katika Ziwa Viktoria. Katika utafiti uliofanywa hivi punde na shirika la Lake Victoria Fisheries, matumizi ya taa za mafuta pamoja na nyavu zisizofaa zimechangia pakubwa katika pungua kwa idadi ya samaki ziwani humo.