Wawakilishi wadi wa Busia watofautiana na gavana Paul Otuoma kuhusu fedha za miradi

  • | Citizen TV
    561 views

    Baadhi Ya Wawakilishi Wadi Katika Bunge La Kaunti Ya Busia Wamejitokeza Na Kupinga Vikali Usemi Wa Hivi Majuzi Wa Gavana Wa Kaunti Ya Busia Paul Otuoma Ya Kuwa Serikali Yake Inawapa Shilingi Milioni 20 Za Kutekeleza Miradi Mbalimbali Kila Mwaka. Wawakilishi Wadi Hao Wameilaumu Serikali Ya Kaunti Ya Busia Kwa Kuondoa Kwenye Bajeti Ya Ziada Pesa Za Kulipa Madeni Na Zile Ambazo Hazikutumika Katika Bajeti Za Hapo Awali.