Wawaniaji wa viti kwenye uchaguzi wa FKF wamepaza malalamishi yao

  • | Citizen TV
    147 views

    Wawaniaji wa viti kwenye uchaguzi wa shirikisho la soka nchini FKF wamepaza malalamishi yao kuhusiana na mchakato wa uchaguzi huo wakitaka bodi ya uchaguzi ya shirikisho hilo kuandaa kikao nao mara moja ili kujadili mambo mengi yanayohusu uchaguzi huo muhimu.