Wazazi wahimizwa kuwa msitari wa mbele kuangazia madhara ya ukeketaji Kuria

  • | KBC Video
    10 views

    Wazazi katika jamii ya Wa-Kuria kwenye kaunti ya Migori wamehimizwa kuangazia kikamilifu madhara ya ukeketaji kwa watoto wa kike kama mojawapo ya njia ya kutokomeza mila hiyo hatari. Wakizungumza kwenye mkutano na baadhi ya wazazi katike eneo la Miritini, wazna-harakati wanaopinga ukeketaji walisema kuelimisha familia na kuhamasiha jamii kutasaidia kukomesha mila hiyo. Kundi hilo limedokeza kuwa katika miaka michache iliyopita zaidi ya visa elfu-2 vya ukeketaji vimeripotiwa katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive