Wazazi waraiwa kuwasajili wana wao SHA

  • | Citizen TV
    262 views

    Usajili wa wanafunzi kwenye bima ya matibabu - SHA- umezinduliwa katika kaunti ya mombasa huku waziri wa elimu julius migos akiwarai wazazi kuhakikisha kuwa wnaafunzi wote wamesajiliwa ili kujipunguzia mzigo wa gharama ya matibabu. Na kama anavyoarifu francis mtalaki waliokuwa wakosoaji wa rais william ruto mombasa wamemtetea rais dhidi ya mashambulizi kutoka kwa aliyekuwa naibu rais rigathi gachagua.