Wazazi watakiwa kuhakikisha wanakuza maadili mema miongoni mwa watoto wao

  • | Citizen TV
    1,117 views

    Wazazi wametakiwa kuhakikisha wanakuza maadili mema miongoni mwa watoto wao hasa wakati wa likizo inayotarajiwa kuanza ili kuwaepusha na changamoto zinazoweza kuathiri maendeleo yao ya kitaaluma na kijamii.