Wazazi watakiwa kuwaelimisha watoto wao kuhusu utamaduni

  • | Citizen TV
    198 views

    Wazazi Wamelaumiwa Kw Akutowaelimisha Wana Wao Kuhusu Mila Na Tamaduni Za Jamii Yao. Haya Ni Huku Wadau Wakielezea Nafasi Ya Teknolojia Katika Kuhifadhi Mila Na Desturi Za Jamii Za Kiafrika.Na Kama Anavyoarifu Bonface Barasa, Rais William Ruto Anatarajiwa Kufungua Rasmi Sherehe Za Kitamaduni Za Jamii Ya Maa Katika Kaunti Ya Samburu.