Wazazi watakiwa kuwapa malezi walemavu

  • | Citizen TV
    104 views

    Baraza la kitaifa la walemavu katika kaunti ya Kwale limesema idadi ya watu wanaoishi na ulemavu wanaojitokeza kusajiliwa kaunti hiyo ingali chini kinyume na inavyotarajiwa.