Wazazi watishia kuvuruga masomo shuleni Kimabole, Mlima Elgon

  • | Citizen TV
    84 views

    Huenda Shughuli Za Masomo Katika Shule Ya Upili Ya Kimabole, Eneobunge La Mlima Elgon Kaunti Ya Bungoma Zikalemazwa Iwapo Tume Ya Walimu Nchini Tsc Haitaingilia Kati Na Kutoa Suluhu La Kudumu Kwenye Mzozo Unaotokota Wa Usimamizi Wa Shule Hiyo.