Wazee kutoka Mugirango Kusini wasema atamaliza ufisadi

  • | Citizen TV
    518 views

    Wazee kutoka Mugirango Kusini kwa mara ya kwanza wamejitokeza kumpigia upato aliyekuwa waziri wa usalama wa Ndani Dr Fred Matiangi katika azma yake ya Urais nchini iwapo taifa linapania kupigana na ufisadi