Wazee wa sabaot waahidi kukomesha mimba za utotoni

  • | Citizen TV
    142 views

    Kaunti ndogo ya kopsiro katika eneo bunge la mlima elgon imeandikisha idadi kubwa ya mimba za utotoni huku wadau wakitakiwa kushirikiana kwenye mikakati ya kudhibiti hali hiyo.