Wazee waandaa hafla ya kumtawaza kiongozi

  • | Citizen TV
    349 views

    Wazee wa jamii ya wafugaji ya Wasamburu wana jukumu kubwa la kulinda mila na tamaduni za jamii hiyo tangu jadi. wazee hao wamechukua jukumu la kushinikiza uongozi Bora Katika jamii na kuwachagua viongozi watakaoendeleza ukosoaji na kuhakikisha utendakazi bora.