Serikali ipewa changamoto ya kufanya sensa mpya ya watu wanaoishi na ulemavu nchini

  • | NTV Video
    24 views

    Serikali imepewa changamoto ya kufanya sensa mpya ya watu wanaoishi na ulemavu nchini ili kuwezesha upatikanaji wa takwimu sahihi na zinazoweza kufikiwa na umma ambazo ni muhimu katika kuboresha ujumuishaji wa watu wenye ulemavu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya