Waziri Alfred Mutua apendekeza nyongeza ya malipo ya kustaafu

  • | KBC Video
    32 views

    Waziri wa Leba na utunzi wa jamii Dkt Alfred Mutua amependekeza asilimia sita ya malipo ya uzeeni kwa wafanyakazi wa humu nchini na pia wale wanaofanya kazi ughaibuni kwa ajili ya kustaafu kwao chini ya mpango wa hazina ya malipo ya uzeeni -NSSF. Mutua alitoa pendekezo hilo wakati alipokuwa akielezea masuala tata yanayoathiri sekta hiyo. Mutua aliapa kukabiliana na mashirika ya ulaghai wa uajiri ambayo yametajwa na kuhusishwa na sakata za kuwalaghai wakenya wanaotafuta ajira pamoja na kutwaa hati zao za kusafiri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive