Waziri Beatrice Askul asema kuhusu maeneo kame

  • | Citizen TV
    74 views

    Waziri wa maswala ya afrika mashariki na maeneo kame Beatrice Askul anaonya kuwa zaidi ya wakenya Milioni 1.5 wamo katika hatari ya kukumbwa na baa la njaa