Waziri Duale aagiza kliniki zote nchini zikaguliwe upya

  • | Citizen TV
    121 views

    Waziri wa Afya Aden Duale ame amuru Baraza la Udhibiti wa Maafisa wa Kliniki kukagua upya kliniki zote na kuhakikisha kuwa linaangazia utendakazi wa kila kliniki nchini mara kwa mara kuhakikisha kuwa huduma zinazotolewa kwa Wakenya hazizoroti