Waziri Duale asema hospitali zinazoidai NHIF zaidi ya shilingi milioni 10 zitalipwa

  • | KBC Video
    216 views

    Waziri wa afya Aden Duale ameahidi kudumisha imani ya umma, uwazi na uwajibikaji katika ufadhili wa huduma za matibabu humu nchini. Waziri alisema kuwa hospitali zinazoidai iliyokuwa hazina ya kitaifa ya matibabu NHIF zaidi ya shilingi milioni 10 zitalipwa baada ya ukaguzi wa kina wa kamati ya kitaifa ya bima ya afya inayohakiki na kuthibitisha malimbikizi ya madai ya gharama ya matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive