Waziri Justin Muturi asema hatajiuzulu kutoka serikalini

  • | Citizen TV
    980 views

    Waziri wa utumishi wa umma justini MUturi ameshikilia kwamba kamwe hatang’atuka serikalini na kumtaka Rais William Ruto kujitokeza bayana na kuelezea wakenya ni nani anaeendeleza dhulma za mauaji pamoja na utekaji nyara nchini