Waziri Murkomen asema uchunguzi utakamilika

  • | Citizen TV
    72 views

    Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, ameahidi kuchukua hatua kali dhidi ya maafisa wa wanyamapori ambao wanakisiwa kuhusika na kupotea kwa mkazi wa Nakuru, Brian Odhiambo, miezi miwili iliyopita