Waziri Murkomen athibitisha kutoweka kwa wavuvi 20 wa Turkana baada ya shambulio

  • | NTV Video
    840 views

    Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amethibitisha kuwa zaidi ya wavuvi 20 wa Turkana wametoweka baada ya kushambuliwa na jamii ya Merile kutoka Ethiopia Jumamosi iliyopita.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya