Waziri Mutahi Kagwe aonya dhidi ya uchuuzi wa majani chai, mswada mpya kuja

  • | NTV Video
    234 views

    Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe ameonya dhidi ya uchuuzi wa majani chai bila kufuata kanuni zilizopo, huku akisema mswada mpya utakaoidhinishwa wiki ijayo, utasaidia pakubwa katika uboreshaji wa sekta hiyo na kukabiliana na walaghai.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya