Waziri wa afya azuru hospitali ya KNH kina mama waliojifungua walivamia ofisi yake kina mama hao wal

  • | Citizen TV
    138 views

    Waziri wa afya Deborah Barasa Mlongo amezuru hospitali ya rufaa ya kenyatta baada ya tetesi zilizoibuka hapo jana pale kundi la kina mama lilivamia ofisi yake likilalamikia changamoto za bima ya sha ambazo zimewakosesha huduma za matibabu.