Waziri wa Afya Deborah Barasa atathmini usajili wa wananchi kwenye bima mpya ya SHA Nakuru

  • | Citizen TV
    170 views

    Waziri wa aAfya anazuru kaunti ya Nakuru kutathmini usajili wa wananchi kwenye bima mpya ya matibabu - SHA. Waziri Barasa pia anakagua utoaji huduma kwa wagonjwa wa figo kaunti ya Nakuru.