Waziri wa elimu Julius Migos kutangaza matokeo ya mtihani wa KCSE

  • | Citizen TV
    25,363 views

    Waziri Wa Elimu Julius Migos Anatangaza Matokeo Ya Mtihani Wa Kcse Uliokamilika Tarehe Ishirini Na Mbili Mwezi Wa Novemba Mwaka Uliopita. Watahiniwa 965,501 Walifanya Mtihani Huo. Japo Kulikuwa Na Ripoti Za Jaribio La Kuiba Mthani, Wizara Ya Elimu Ilitangaza Kuwa Ilidhibiti Hali . Maafisa Kadhaa Waliwemo Walimu Na Wasimamizi Wakuu W Amitihani Walikamatwa. Brenda Wanga Anafunatilia Matikio Katika Makao Makuu Ya Baraza La Mitihani Hapa Jijini Nairobi Na Sasa Anaungana Nasi Mubashara Kwa Mengi Zaidi.