Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa ulinzi azindua zoezi la usajili wa makurutu wa jeshi

  • | Citizen TV
    428 views
    Duration: 1:30
    Usajili wa makurutu wa jeshi kuu la kenya umeanza hii leo katika kaunti zote 47. Akizindua zoezi hilo waziri wa ulinzi soipan tuya amesisitiza kuwepo kwa haki katika zoezi hili huku vitengo kutoka dci pamoja na eacc vikifuatilia zoezi hili ili kutibua jaribio lolote la ufisadi. Zoezi hili linatarajiwa kukamilika tarehe 25 oktoba mwaka huu .