- 353 viewsDuration: 3:13Wakazi wa Milimani viungani mwa mji wa Maralal Kaunti ya Samburu,wameandamana kupinga kujumuishwa kwao chini ya manispaa ya mji wa Maralal,wakisema hawakuhusishwa kabla ya hatua hiyo kutekelezwa. Sasa wanashinikiza uamuzi huo kubatilishwa.