WHO: Kichaa cha mbwa huuwa watu zaidi ya 30,000 duniani

  • | Citizen TV
    593 views

    watu zaidi ya 30,000 hufariki duniani kutokana na kichaa cha mbwa kila mwaka, kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO). Katika Kaunti ya Lamu, hali ni ya kutia wasiwasi, huku vifo zaidi ya 12 vikirekodiwa tangu mwaka 2020. Kama anavyotueleza Abdulrahman Hassan mwaka huu pekee, kuna ripoti za watu 149 waliojeruhiwa na mbwa katika kaunti ya Lamu.