Wito watolewa kwa ushirikiano bora wa kinamama

  • | Citizen TV
    56 views

    Kinamama viongozi kutoka kaunti ya Kisii na Nyamira walikongamana mjini Kisii kupiga msasa hatua ambazo wamepiga katika sekta mbalimbali, ikiwemo uongozi, kama njia moja wapo ya kujiinua katika jamii licha ya changamoto zinazowakabili