Wito watolewa kwa walimu wakuu nchini kupanga mikakati ya kuzuia visa vya moto shuleni

  • | K24 Video
    48 views

    Huku visa vya moto vikizidi kushuhudiwa katika shule mbali mbali nchini, wito umetolewa kwa walimu wakuu nchini kupanga mikakati ya kuzuia visa hivyo kwa kuweka kamera za siri katika maeneo tofauti shuleni mwao. Hayo yakijiri viongozi wa dini pia wamejitokeza na kuitaka serikali ifanye uchunguzi wa kina ili kubaini chanzo cha visa vya moto shuleni. busara naaman ana mengi.