- 35 viewsWizara ya Afya nchini Kenya imeanzisha mfumo wa habari wa afya wa kidigitali kuwasaidia wafanyakazi kuwatambua wagonjwa na kuweka rekodi zao za afya. Mohammed Yusuf anaripoti kutoka katika kijiji cha Magharibi mwa Kenya, ambako hospitali zimerekodi ongezeko la watu wanaotafuta msaada wa matibabu tangu kuanzishwa kwa mfumo huo. #voaswahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wizara ya Afya Kenya yaanzisha mfuko wa habari wa kidigitali
- - Duniani Leo ››
- 30 Nov 2024 - Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
- 30 Nov 2024 - The staunch critic of Gachagua did not take kindly to the violence that took place in his backyard.
- 30 Nov 2024 - This is not the first time the former CS is landing a state job since he was fired by former President Uhuru Kenyatta.
- 30 Nov 2024 - Kenya Cup: Menengai Oilers eye consistency ahead of Strathmore Leos test
- 30 Nov 2024 - The government has continued to defend the rollout of SHA, with more money being spent on a nationwide campaign.
- 30 Nov 2024 - The president has been making a series of appointments in government bodies.
- 30 Nov 2024 - Parents shocker as State stops student mid-year transfers
- 30 Nov 2024 - Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
- 30 Nov 2024 - Origins of thanksgiving week in US and key lessons for Kenyans
- 30 Nov 2024 - Former MP's abduction puzzle in funeral chaos probe