Wizara ya elimu bado haijatoa ufadhili kwa wanafunzi

  • | Citizen TV
    132 views

    Walimu wakuu wa shule za upili za kutwa katika eneo la Mathira wanairai wizara ya elimu kufanya hima kusambaza pesa za ufadhili wa wanafunzi kwani ni wiki tatu sasa tangu shule kufunguliwa ilhali wizara ya elimu haijawajibika.