Zahanati za mashua zinavyosaidia wanakijiji India

  • | BBC Swahili
    108 views
    Katika visiwa vya mbali vya jimbo la Assam India, ambapo ufikiaji wa huduma ya afya mara nyingi ni changamoto, kliniki za mashua zinaziba pengo hilo. Mara mbili kwa mwezi, timu za madaktari na wauguzi waliojitolea husafiri majini, kupeleka huduma ya matibabu kwa jamii zilizotengwa zaidi nchini humo. BBC imefuatilia safari yao na kushuhudia jinsi kliniki hizi zinazoelea zinavyotoa huduma za kimsingi za afya. #bbcswahili #india #afya #matibabu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw