Zaidi ya kina mama 200 wanufaika na mafunzo Kisii

  • | Citizen TV
    112 views

    Zaidi ya wasichana na kina mama 200 kutoka kaunti ya Kisii wamenufaika na mafunzo kuhusu jinsi wanavyoweza kutwaa uongozi miongoni mwao