Zaidi ya timu 45 za voliboli na 30 za soka zinatarajiwa kushiriki katika mashindano ya Legem

  • | NTV Video
    86 views

    Zaidi ya timu 45 za voliboli na 30 za soka kutoka kaunti ya Nandi zinatarajiwa kushiriki kwenye mashindano ya Legem yatakayofanyika Machi mosi na mbili mwaka huu katika uwanja wa Kamungei eneo bunge Mosop Kaunti ya Nandi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya