Zaidi ya wakenya 300 wanawania nafasi za makamishna wa IEBC

  • | NTV Video
    287 views

    Zaidi ya wakenya 300 wametuma maombi wakisaka nafasi 7 za makamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC huku maombi zaidi yakitarajiwa hadi katikati ya februari mwaka huu makataa yatakapotimia.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya