10 Nov 2025 1:17 pm | Citizen TV 522 views Duration: 3:03 Muungano wa walimu wakuu wa shule za msingi umepinga hoja ya walimu wa sekondari msingi kujisimamia wakisema uamuzi huo uliafikiwa kupitia jopo maalum la elimu.