ZamZam : Muacheni dereva apeleke abiria mpaka station ya mwisho, akifika atatafuta makanga mwengine

  • | KBC Video
    450 views

    RIGATHI IMPEACHMENT

    Mombasa County Woman Rep Zamzam Mohamed : Makanga ameiba pesa ya abiria, dereva hana pesa ya kupelekea mwenye gari, muacheni dereva apeleke abiria mpaka station ya mwisho, akifika kule atatafuta makanga mwengine.

    #KBCniYetu