Zelensky ageukia Ulaya baada ya kutemwa na Trump

  • | BBC Swahili
    1,005 views
    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewashukuru viongozi wa Ulaya kwa "uungwaji mkono mkubwa" ambao wameonyesha Ukraine katika mkutano wa kilele wa usalama wa Baraza la Ulaya mjini Brussels. "Katika kipindi hiki chote, na wiki iliyopita, mumesimama na sisi," amesema.