Ziara ya rais Ruto Nzanza yapokelewa vizuri na wakaazi

  • | Citizen TV
    1,713 views

    Viongozi na wakazi wa Homa bay wameeleza hisia zao kuhusu ziara za Rais William Ruto mara mbili chini ya mwezi Moja katika ukanda wa nyanza. Eneo ambalo limekuwa ngome ya upinzani kwa muda mrefu. James Latano ameandaa Taarifa ifuatayo.