Ziara ya Seb Coe nchini Kenya

  • | Citizen TV
    388 views

    Rais wa shirikisho la riadha duniani Sebastien Coe amehitimisha ziara yake ya siku moja nchini Kenya kwa kukutana na Rais William Ruto katika ikulu ya Nairobi.