Ziara za Rais Ruto Mlima Kenya zapungua

  • | K24 Video
    5,837 views

    Ni dhahiri safari za rais William Ruto eneo la mlima kenya zimepungua tangu kutimuliwa kwa aliyekuwa naibu wake William Ruto. Hii ni kinyume na ziara alizokuwa akifanya Ruto eneo la mlima ikiwemo ibada na kuzindua miradi ya maendeleo. Ziara yake hivi majuzi ilikumbwa na hali ya mshike mshike na kuzua hisia nzito kutokana na makaraibisho ya rais katika kauti ya Embu. Ke rais anakwepa mlima na kupendelea eneo la Nyanza kwa sasa?.