Zogo la wanafunzi Mombasa

  • | Citizen TV
    852 views

    Watu watano wamekamatwa na mmoja kujeruhiwa huku Shughuli za masomo zikikwama katika taasisi ya mafuzo ya ubaharia katika kaunti ya Mombasa, baada ya wanafuzi kususia masomo kwa kile wanachodai ni usimamizi mbaya.