- 59 viewsWaokoaji wanajaribu kuwafikia watu waliokwama katika jengo lililoporomoka katika mji mkuu wa biashara la Dar es Salaam siku ya Jumatatu, ambapo idadi ya waliofariki imeongezeka na kufikia 16. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Zulia Jekundu: Wiki ya mitindo ya Lagos yafana
- 19 Nov 2024 - President-elect Donald Trump confirmed Monday that he plans to declare a national emergency on border security and use the US military to carry out a mass deportation of undocumented migrants.
- 19 Nov 2024 - Counties are in a crossfire with the National Treasury over funding to the devolved units that triggered an extraordinary meeting of the council of governors early Monday.
- 19 Nov 2024 - South African President Cyril Ramaphosa said Monday that hundreds of illegal miners in an abandoned gold mine shaft must leave and defended police for blocking their food and water supplies in a bid to force them out.
- 19 Nov 2024 - In a fresh round to try and pump life into a section of tax proposals contained in the withdrawn 2024 Finance Bill, the National Assembly Committee on Finance is on the road again, collecting views on some of the tax proposals that seek to raise Ksh.178…
- 19 Nov 2024 - The incident occurred despite prior attempts by the National Construction Authority (NCA) to halt the construction. Records reveal that the NCA issued a stop notice on April 15, 2024, but the developer blatantly ignored it, continuing construction with…
- 19 Nov 2024 - Learning in public universities remained paralyzed on Monday as the lecturers’ strike entered its fourth week across the country.
- 19 Nov 2024 - The caravan was officially flagged off in Kenol, Murang’a County, before proceeding to Maragua, Mukuyu, Murang’a Town, Kangema, and concluding its journey in Kiriani Town.
- 18 Nov 2024 - Uganda has seen a recent "sharp drop" in the number of registered non-governmental organisations the government said Monday, as NGOs and lawyers blamed toughening regulations that have notably hit foreign-funded agencies.
- - Plastic waste chokes Congo dam, causing widespread power cuts
- 18 Nov 2024 - According to Ugandan dailies, Emmanuel Nabugodi, known for sharing comedic content with his 20,000 followers, appeared in court for sentencing after pleading guilty to a number of charges, including spreading hate speech and disseminating false…